sspf formula

SSPF FORMULA ni kifaa kilichotengenezwa kwa ustadi mzuri kwa kutumia program ya MS excel mahsusi kwa ajili ya kuchakata matokeo ya wanafunzi, Ustadi mzuri uliotumika umeifanya sspf formula kuwa ni rafiki na rahisi kutumia kuanzia watu ambao wanakiwango cha chini kabisa cha ufahamu wa computer mpaka wale wenye kiwango kikubwa.

MAMBO INAYOFANYA SSPF FORMULA 
  • Ina uwezo wa kutoa matokeo ya wanafunzi kwa AVERAGE, DIVISION au GPA itategemeana na chaguo lako.
  • Ina uwezo wa ku“grade” marks za wanafunzi kwa mfumo wa (A, B, C, D, F) au vinginevyo kutokana na maagizo ya wizara ya Elimu.
  • Ina uwezo wa kutoa nafasi walizoshika wanafunzi katika somo mojamoja na katika matokeo ya masomo yote kwa jumla.
  • Ina uwezo wa kutengeneza mikeka (CONSO) kwa somo mojamoja na kwa masomo yote kwa jumla (consolidated sheet)
  • Ina uwezo wa  kutengeneza ripoti za wanafunzi kwa kasi ya hatari na kum’bakiza mwalimu na kazi ya kutia saini tu!
  • Inakupa nafasi ya kuweza kutoa idadi ya majaribio 10 ndani ya muhula mmoja kwa somo moja huku ikikupa uhuru mkubwa wa jinsi ya kutumia matokeo ya majaribio hayo (gigso version).
  • Ina uwezo wa kuhudumia mpaka masomo 17 yatakayofanyiwa mtihani pamoja na majaribio yake kumi kumi.
  • Ina uwezo wa kuhudumia mpaka wanafunzi zaidi ya 200 katika darasa moja.
Kwa sasa sspf formula inapatikana kwa ajili ya O'level tu! (I-IV), ila tunataraji hivi karibuni ipatikane kwa ajili ya shule za msingi (1-7) na baadae A'level (V-VI).

Kwa maelezo zaidi kabla ya kufanya chochote bofya “Read me!” hapo juu.


Happy to Help



WAALIMU NA WADAU WENGINE WA ELIMU MNAKARIBISHWA SANA, SSPF FORMULA NI MKOMBOZI, KWANI MUDA NA NGUVU NYINGI HAZITOPOTEA TENA KWENYE  UANDAAJI WA MATOKEO BADALA YAKE NGUVU HIZO ZITAELEKEZWA KWENYE
UBUNIFU KATIKA MAENDELEO YA TAALUMA YA WANAFUNZI